
Kama Ukigundua Umebakisha Siku 30 Pekee Za Kuishi Duniani! Ungefanya Nini Ili Kumalizia Uhai Wako Kikamilifu?
Hujachelewa, ukipata jawabu lako basi anza muda huu kufanya yote ambayo yapo ndani ya uwezo wako kuanzia muda huu.
Kifo ni fumbo hakuna ajuae kitafika muda gani!
Hivyo tunapaswa kuishi kama wapita njia.
Fanya yote bila hofu wala uoga kwa Hakika ndio njia pekee yakuishi maisha makamilifu unayopaswa kuishi hata kama utaishi miaka 100 zaidi.