Life With Muhasu » You Can Win If You Want

Leo Unao Muda, Una Uhai, Una Pumzi… Vitumie Vyema

Kama Ukigundua Umebakisha Siku 30 Pekee Za Kuishi Duniani! Ungefanya Nini Ili Kumalizia Uhai Wako Kikamilifu?

Hujachelewa, ukipata jawabu lako basi anza muda huu kufanya yote ambayo yapo ndani ya uwezo wako kuanzia muda huu.

Kifo ni fumbo hakuna ajuae kitafika muda gani!

Hivyo tunapaswa kuishi kama wapita njia.

Fanya yote bila hofu wala uoga kwa Hakika ndio njia pekee yakuishi maisha makamilifu unayopaswa kuishi hata kama utaishi miaka 100 zaidi.

Share this article
Shareable URL
Prev Post

Matatizo Ni Kama Microscope, Kadiri Unavyoyachunguza Ndivyo Yanavyoibuka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Read next

Tafuta Upekee Wako

Usikubali kuwa wa kawaida wala kufanya mambo wanayofanya wengine na yaliyozoeleka Mafanikio huja kwa kufanya…

Jifunze Kushukuru

Kadiri unavyo shukuru Ndivyo unavyojisogeza karibu na mafanikio yako Jifunze kuwa na moyo wa kuyaona mazuri…

Huruhusiwi ku copy makala hii.